Unasemaje "Usipopoteza nyuma ukiwa kijana utapoteza ukizeeka." kwa Kiiraqw?
Do bura qwareska dir masombimar uqwares dir seemir a'wak
- swh usipopoteza nyuma ukiwa kijana utapoteza ukizeeka
- en if you fall behind as a youth, you will be lost in old age
phrase
proverb | theme: hekima, busara, vijana
swh: Usipopoteza nyuma ukiwa kijana utapoteza ukizeeka.
en: If you fall behind as a youth, you will be lost in old age.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Inasisitiza kuwa kijana anaweza kupambana ili kuyabadili maisha yake mabaya kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa kabla ya kuzeeka. Uzee humfanya binadamu kupoteza mambo mengi, hasa nguvu, maarifa na kumbukumbu. Jamii inatakiwa kusisitiza malezi ya familia yanayozingatia miiko na maadili ya jamii.